Nyota wa Manchester City, Leroy Sane akienda chini baada ya kukwatuliwa na Marten de Roon wa Middlesbrough, rafu iliyosababisha penalti ambayo ilifungwa na Sergio Aguero dakika ya 69 kuipatia timu hiyo bao la kwanza katika sare ya 2-2 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Bao lingine la City limefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 85, wakati ya Boro yamefungwa na Alvaro Negredo dakika ya 38 na Calum Chambers dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
6 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment