James Rodriguez akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 14 na 66 katika ushindi wa Real Madrid wa 6-2 dhidi ya wenyeji Deportivo La Coruna usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Riazor. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya kwanza, Lucas Vazquez dakika ya 44, Isco dakika ya 77 na Casemiro dakika ya 87 wakati ya wenyeji yalifungwa na Florin Andone dakika ya 35 na Joselu dakika ya 84. Kocha Zinadine Zidane hakutumia wachezaji tisa aliowaanzisha Jumapili wakifungwa 3-2 na Barcelona, akiwemo Cristiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Cristiano Ronaldo opens up on how his daughters convinced him to propose to 
fiancee Georgina Rodriguez - with £1.5m ring - as he reveals details of 
'not romantic' proposal for the first time
                      -
                    
The superstar couple sent supporters wild back in August when they 
announced their engagement after some nine years together.
42 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment