Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 101 wakiilaza Manchester City 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England iliyodumu kwa dakika 120 leo Uwanja wa Wembley, London. Sergio Aguero alianza kuifungia Man City dakika ya 62, kabla ya Nacho Monreal  kuisawazishia Arsenal dakika ya 71 na sasa Washika Bunduki wa London watakutana na Chelsea katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment