• HABARI MPYA

    Friday, April 10, 2015

    JOHAN CRUYFF ALIPOMKABIDHI BIN ZUBEIRY 'UZI' WA ENZI ZAKE BARCA

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa kimataifa wa Uholanzi na Barcelona ya Hispania, Hendrik Johannes Cruijff, maarufu kama Johan Cruyff (kulia) akimkabidhi jezi yake, Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry (kushoto) katika hafla maalum iliyoandaliwa na Balozi wa Hispania nchini, Luis Guesta nyumbani kwake, Masaki, Dar es Salaam usiku wa leo.
    Kiungo mwingine wa zamani wa Barcelona na Hispania, Luis Javier García Sanz, maarufu kama Luis García (kulia), akifurahia na BIN ZUBEIRY katika hafla hiyo. Magwiji wa Barcelona wapo Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya magwiji wa Tanzania kesho Uwanja wa Taifa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOHAN CRUYFF ALIPOMKABIDHI BIN ZUBEIRY 'UZI' WA ENZI ZAKE BARCA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top