• HABARI MPYA

    Thursday, April 09, 2015

    MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA MALAWI AFARIKI DUNIA

    Na Alex Sanga, SHINYANGA
    MCHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) na klabu ya Big Bullets FC ya Nchini Malawi Douglas Chilambo (pichani kulia) amefariki dunia siku ya Jumapili katika kijiji cha Thyolo kutokana na ugonjwa wa Mtindio wa ubongo (Brain Tumor).
    Chirambo alizikwa Jana mchana nyumbani kwao katika kijiji cha wilaya ya Rumphi Marehemu douglas aliwezesha timu yake ya Big bullets ya Malawi kuchukua ubingwa msimu uliopita wa Nchini humo Marehemu chirambo mara ya mwisho kuchezea timu ya Taifa ilikuwa ni katika mashindano ya Cosafa mwaka 2013 nchini Zambia Rais wa chama cha soka nchini Malawi Walter Nyamilandu ametuma salamu za rambi rambi kwa familia ya marehemu chilambo.
    Kabla ya mauti kumkuta Marehemu chilandu alikuwa ni beki wa klabu ya Big bullets kuanzia mwaka 2006.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA MALAWI AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top