• HABARI MPYA

    Sunday, April 19, 2015

    WANAUME KWELI MAZEMBE WATOA SARE 2-2 UGENINI

    TP Mazembe yenye washambuliaji wawili Watanzania, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu  imelazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na wenyeji Stade Malien katika mchezo wa kwanza wa 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika mjini Bamako. Mazembe iliongoza 2-0 kwa mabao ya Traore dakika ya 27 na Adjei dakika ya 51, lakini Ismael Kone akaisawazishia Stade Malien ndani ya dakika mbili, dakika ya 74 na 76. Mazembe sasa inaweza kufuzu hata kwa sare ya 1-1 au 0-0 katika mchezo wa marudiano wiki mbili zijazo mjini Lubumbashi, DRC.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WANAUME KWELI MAZEMBE WATOA SARE 2-2 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top