GARDIEL MICHAEL KATIKA SEMINA YA KLABU YAKE MPYA, SIMBA SC
Beki mpya wa Simba SC, Gardiel Michael akiwa na wachezaji wenzake wapya wakati wa Semina ya ndani ya wachezaji na benchi la ufundi kuhusu historia ya klabu hiyo, kanuni, maadili, desturi, nidhamu na malengo ya timu kwa msimu wa 2019/2020
0 comments:
Post a Comment