Kinda Eddie Nketiah (katikati) akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 15 na 65 ikishinda 3-0 dhidi ya Fiorentina katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Bank of America, Charlotte, North Carolina, Marekani. Bao la tatu lilifungwa na chipukizi mwingine, Joe Willock dakika ya 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment