Mwanzo > SIMBA > CHAMA NA KAPAMA WASIMAMISHWA SIMBA SC UTOVU HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA CHAMA NA KAPAMA WASIMAMISHWA SIMBA SC UTOVU VIUNGO Mzambia, Clatous Chotta Chama na mzawa, Nassor Kapama wamesimamishwa Simba SC kwa utovu wa nidhamu na shauri lao litapelekwa Kamati ya Nidhamu kwa hatua zaidi. Thursday, December 21, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI SIMBA
0 comments:
Post a Comment