Mwanzo > TFF > UWANJA WA UHURU WAFUNGIWA, SIMBA YAHAMIA CHAMAZI HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KMC LIGI KUU BARA SIMBA TFF UWANJA WA UHURU WAFUNGIWA, SIMBA YAHAMIA CHAMAZI SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeifungia Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kutokana na mapungufu kadhaa na kwa maana hiyo Simba SC mechi zake zitahamia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kuanzia dhidi ya KMC kesho. Friday, December 22, 2023 HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI KMC LIGI KUU BARA SIMBA TFF
0 comments:
Post a Comment