KIUNGO mpya wa Yanga, Shekhan Ibrahim Khams na Khleffin Salum Hamdoun anayecheza Muscat Club ya Oman ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Zanzibar Heroes kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars Jumatano Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment