KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWASILI FRANCISTOWN KUIVAA GALAXY
WACHEZAJI wa Simba SC baada ya kuwasili Jijini Francistown nchini Botswana kwa ajili ya mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy. PICHA: WACHEZAJI WA SIMBA BAADA YA KUWASILI FRANCISTOWN
0 comments:
Post a Comment