Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > YANICK BANGALA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI YANICK BANGALA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI KIUNGO wa Azam FC, Yanick Bangala Litombo amefiwa na baba yake mzazi, Dennis Bangala aliyefariki juzi kwao, Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Friday, March 08, 2024 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment