BODI YAUFUNGIA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KWA MECHI ZA LIGI KUU
BODI ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) imeufungia Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro kwa mechi za Ligi Kuu kutokana na mapungufu kadhaa yanayoathiri urushaji wa matangazo ya moja kwa moja ya Televisheni.
0 comments:
Post a Comment