KIPA WA COASTAL MCHEZAJI BORA FEBRUARI LIGI KUU, GAMONDI KOCHA BORA
KIPA Mkongo wa Coastal Unión, Vumi Ley Matampi (34) amechaguliwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mwezi Februari huku Muargentina wa Yanga, Miguel Ángel Gamondi akishinda Tuzo ya Kocha Bora mwezi huo.
0 comments:
Post a Comment