• HABARI MPYA

    Monday, January 13, 2025

    NI ZANZIBAR HEROES BINGWA KOMBE LA MAPINDUZI



    WENYEJI, Zanzibar wamefanikiwa kutwa Kombe la Mapinduzi ya Zanzibar baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Burkina Faso usiku wa leo Uwanja wa Gombani, Pemba, Zanzibar.
    Mabao ya Zanzibar Heroes yamefungwa na Ibrahim Hamad ’Hilika’  dakika ya 41 na Hassan Ali dakika ya 90’+2, wakati la Burkina Faso limefungwa na Abuobacar Traore dakika ya 69.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NI ZANZIBAR HEROES BINGWA KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top