• HABARI MPYA

    Sunday, March 15, 2026

    YANGA SC YAAMBULIA SULUHU KWA AZAM FC, 0-0 BENJAMIN MKAPA


    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Kwa matokeo hayo, Yanga SC inafikisha pointi 36 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu ikifuatiwa na Azam FC yenye pointi 28 baada ya timu zote kucheza mechi 14.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAAMBULIA SULUHU KWA AZAM FC, 0-0 BENJAMIN MKAPA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top