• HABARI MPYA

    Sunday, February 10, 2013

    MAN UNITED YAZIDI KUPAA ENGLAND, GIGGS NA VAN PERSIE WATUMA SALAMU MADIRD


    KLABU ya Manchester United imeipashia vema misuli Real Madrid na Cristiano Ronaldo wao kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton na kuzidi kupaa kileleni mwa Ligi Kuu England kwa pointi 12 zaidi.
    Pamoja na Jose Mourinho kuushuhudia mchezo huo, Real Madrid inaonekana haitakuwa na kazi nyepesi mbele ya United ambayo leo ushindi wake umetokana na mabao ya Ryan Giggs na Robin van Persie.
    Gap: Manchester United moved 12 points clear of rivals City at the top of the table
    Wachezaji wa Manchester United wakishangilia 

    TAKWIMU ZA MECHI

    Kikosi Man Utd: De Gea, Da Silva, Vidic, Evans (Smalling 81), Evra, Valencia, Cleverley, Jones (Carrick 56), Giggs, Rooney, Van Persie. 
    Benchi: Amos, Anderson, Hernandez, Nani, Welbeck.
    Wafungaji: Giggs dk 13, Van Persie dk45.
    Kikosi Everton: Howard, Neville, Jagielka, Heitinga, Baines, Mirallas (Naismith 70), Osman, Gibson, Pienaar, Fellaini, Anichebe (Jelavic 57). 
    Benchi: Mucha, Oviedo, Hitzlsperger, Stones, Duffy.
    Kadi za njano: Mirallas, Fellaini
    Mahudhurio: 75,525
    Refa: Mark Halsey (Lancashire)

    Flying start: Ryan Giggs put Manchester United ahead in the 13th minute
    Ryan Giggs akiifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 13
    Cruising: Robin van Persie scored yet again to double United's lead
    Robin van Persie akifunga la pili
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAN UNITED YAZIDI KUPAA ENGLAND, GIGGS NA VAN PERSIE WATUMA SALAMU MADIRD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top