![]() |
| Beki wa Kagera, Benjamin Asukile akmkwatua winga wa Yanga, Simon Msuva |
![]() |
| Beki wa Kagera Martin Muganyizi akipitia mpira miguuni mwa Simon Msuva |
![]() |
| Hatari kwenye lango la Kagera |
![]() |
| Simon Msuva akitafuta mbinu za kumtoka Juma Nade |
![]() |
| Mfungaji wa bao pekee la ushindi la Yanga leo, Haruna Niyonzima akipokea zawadi ya fedha kutoka kwa mashabiki baada ya mechi |
![]() |
| Simon Msuva akimuacha chini Juma Nade |
![]() |
| Shijja Mkinna wa Kagera akituliza mpira uliopita beki wa Yanga, Oscar Joshua kushoto. kulia ni Melegesi Mwangwa. |
![]() |
| Kikosi cha Kagera Sugar leo |
![]() |
| Kikosi cha Yanga leo |
![]() |
| Simon Msuva akituliza mpira gambani mbele ya beki wa Kagera |
![]() |
| Kipa wa Kagera Sugar, Hannington Kalyesebula akielekea kudaka mpira mbele ya Said bahanuzi wa Yanga |
![]() |
| Beki wa Kagera, Benjamin Asukile akimiliki mpira mbele ya Simon Msuva wa Yanga |
![]() |
| Kiungo wa Yanga, Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Kagera |
![]() |
| Said Bahanuzi akimuacha chini malegesi Mwangwa |
![]() |
| Frank Domayo akimiliki mpira mbele ya George Kavilla aliyelala chini kuutafuta |
![]() |
| Haruna Niyonzima akituka kwanja la Martin Muganyizi |
![]() |
| Niyonzima akimkokota mtu |
![]() |
| Domayo anafumua shuti |
![]() |
| Bahanuzi anapasua |
![]() |
| Bahanuzi akiwatoka mabeki wa Kagera |
![]() |
| George Kavilla aliyeruka juu kupiga mpira kichwa dhidi ya mchezaji wa Yanga |
![]() |
| Athumani Iddi 'Chuji' wa Yanga akimtoka George Kavilla wa Kagera Sugar kushoto |

























.png)