Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Chillah
Tenga akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, kuzungumzia ujio wa Maofisa
wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) nchini mwezi ujao kupitia sakata la
kuenguliwa kwa Jamal Malinzi kugombea nafasi ya urais wa shirikisho hilo. Habari itafuatia.