Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Iddi Mtiginjola amesema hawezi kutengua maamuzi yake ya kumuengua Jamal Malinzi (pichani) kugombea urais wa shirikisho hilo. Mtiginjola amesema hayo leo mchana wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF, Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. Habari kamili itafuatia punde.