![]() |
| Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akihutubia wakati wa kukabidhi basi la taifa Stars |
![]() |
| Beki wa Taifa Stars, Erasto Nyoni akishuka kwenye basi hilo |
![]() |
| Kocha wa Taifa Stars, Mdenmark Kim Poulsen akishuka kwebye basi hilo |
![]() |
| Kocha Kim akiwa ameketi ndani ya basi na Nyoni |
![]() |
| Nyoni akipanda basi |
![]() |
| Msaa wa kundi la Wanne Star, akiwa amepaka rangi za bendera ya taifa, kuashiria mapenzi kwa timu yake ya taifa, Taifa Stars |
![]() |
| Rais wa TFF, Leodegar Tenga kulia akiteta jambo na Katibu wake, Angetile Osiah kushoto. Katikati ni Kim Poulsen |
![]() |
| Ofisa Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu kulia akiwa na mwandishi wa Star TV, Joyce Nsiima |
![]() |
| Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Sunday Kayuni akiwa na Nyoni kushoto |
![]() |
| Mkurugenzi Mkuu wa TBL, Robin Goetzsche akihutubia |
![]() |
| Kushila kulia na Tenga kushoto wakifuatilia DVD ya basi la Taifa la Stars |
![]() |
| Hapa joto lilizidi, Tenga akijipepea na kujifuta kulia na Kim akijifuta jasho |
![]() |
| Wasanii wa kundi la Wanne Star wakitoa burudani |
![]() |
| Tenga akiwaelekeza jambo, Kim na Angetile |
![]() |
| Tenga akihutubia |
![]() |
| Vijana wa Wanne Star wakifanya vitu vyao |
![]() |
| Vijana wa Wane Star wakifanya mambo yao |
![]() |
| Vijana wa Wane Star hao |






















.png)