• HABARI MPYA

    Monday, May 20, 2013

    NGASSA ATAMBULISHWA RASMI YANGA, AMWAGA WINO MIAKA MIWILI

    Mwalusako na Ngassa

    Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. 

    Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo

    Seif Ahamad 'Magari' akimkumbatia Ngassa

    Mabosi wa Yanga SC na Ngassa

    Abdallah Bin Kleb akimkumbatia Ngassa

    Mussa Katabaro akimkumbatia Ngassa

    Mwalusako akimshuhudia Ngassa anavaa jezi

    Ngassa anavaa jezi

    Anavaa jezi

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NGASSA ATAMBULISHWA RASMI YANGA, AMWAGA WINO MIAKA MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top