![]() |
| Yondan alifunga kwa penalti dakika chache baada ya mshambuliaji Mrundi, Amissi Tambwe kukosa penalti ya kwanza waliyopewa Yanga SC na refa Mathew Akrama wa Mwanza |
![]() |
| Yondan alisahau hata wajibu wake kama Nahodha kwenda kuzungumza na Azam TV, badala yake Tambwe akaenda kumuwakilisha |
![]() |
| Hakuonekana mwenye furaha hata wakati anapongezwa na kocha wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm |






.png)
0 comments:
Post a Comment