![]() |
| Nahodha wa Azam FC, John Bocco akiwatoka wachezaji wa Mgambo JKT |
![]() |
| Beki wa Azam FC, Msenegali Racine Diouf akipiga kichwa mbele ya mchezaji mwenzake, John Bocco |
![]() |
| Kiungo wa Azam FC, Jean Baptiste Mugiraneza (kulia) akipambana na mchezaji wa Mgambo JKT |
![]() |
| Mshambuliaji wa Azam FC, Ame Ali 'Zungu' akimzuia mchezaji wa Mgambo JKT katika kuwania mpira |
![]() |
| Kikosi cha Azam FC kilichoendeleza ubabe dhidi ya timu za Tanga Uwanja wa Mkwakwani jana |








.png)
0 comments:
Post a Comment