ACACIA WAWAPIGA 'TAFU' AMBASSODOR WASHIRIKI VYEMA LIGI DARAJA LA PILI
Wachezaji wa Ambassador FC ya Kahama, Shinyanga inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Tanzania Bara wakiwa wameshika mfano wa hundi Sh. Milioni 10.5 waliyokabidhiwa leo na kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia kama msaada kupitia mgodi wa Buzwagi
0 comments:
Post a Comment