Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Athletic Bilbao kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou na kutinga Nusu Fainali. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Luis Suarez na Gerard Pique wakati la Bilbao limefungwa na Inaki Williams PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment