Viungo Yaya Toure (kushoto) wa Manchester City akipambana na Alex Song wa West Ham United jana Uwanja wa Upton Park katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya City yote yalifungwa na Sergio Aguero la kwanza kwa penalti na lingine dakika za lala salama baada kuukuta mpira kwenye boksi, wakati ya West Ham pia yote yamefungwa na Enner Valencia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment