SAMATTA NDANI YA AMSTERDAM AKISUBIRI KUUNGANISHA 'PIPA' LA BRUSSELS
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa Uwanja wa Ndege wa Amsterdam, Uholanzi asubuhi ya leo kusubiri kuunganisha ndege kwenda Brussels, Ubelgiji kujiunga na klabu yake mpya, KRC Genk ya Ligi Kuu ya nchini humo. Samatta aliondoka Dar es Salaam usiku wa jana.
0 comments:
Post a Comment