Gabriel wa Arsenal akiutelezea mpira kwenye miguu ya Diego Costa wa Chelsea kumzuia bila mafanikio kufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Emirates leo. Chelsea imeshinda 1-0, bao pekee la Costa katika mchezo ambao beki wa Arsenal, Per Mertesacker alitolewa kwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu mfungaji huyo wa bao a The Blues PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GB's Asher-Smith and Hunt reach 200m final
-
Great Britain's Dina Asher-Smith and Amy Hunt reach the final of the
women's 200m at the World Athletics Championships in Tokyo.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment