Mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Alexandre Pato akikabidhiwa jezi ya Chelsea na Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu hiyo, Michael Emenalo makao makuu ya klabu hiyo, viwanja vya mazoezi vya Cobham jana baada ya kusaini mkopo wa hadi mwisho wa msimu kutoka Corinthians ya kwao, Brazil PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment