![]()  | 
| Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Majimaji jana katika mchezo ambao alifunga mabao matatu | 
![]()  | 
| Amissi Tambwe akiwatoka mabeki wa Majimaji katika mchezo ambao mabao yote alifunga kipindi cha pili | 
![]()  | 
| Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma ambaye alifunga bao moja jana akimtoka beki wa Majimaji, Lulanga Mapunda | 
![]()  | 
| Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwatoka mabeki wa Majimaji jana Uwanja wa Taifa | 
![]()  | 
| Kiungo wa Yanga SC, Thabani Kamusoko akiwatoka wachezaji wa Majimaji katika mchezo ambao naye alifunga bao moja | 








.png)
0 comments:
Post a Comment