Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke (kushoto), akienda hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa West Ham United katika mchezo wa Raundi ya Nne ya Kombe la FA England usiku wa leo Uwanja wa Anfield. Timu hizo zimetoka sare ya 0-0 na sasa zitarudiana kutafuta timu ya kusonga mbele PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment