Mshambuliaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa 20 ya Tanzania, Abubakar Mkangwa (kushoto) akipambana na wachezaji wa timu ya Ghana katika mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika uliofanyika mwaka 1998 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam. Mchezaji mwingine wa Tanzania kulia ni Abdallah Saleh Sabebe.
0 comments:
Post a Comment