BAO la dakika za lala salama la Steve Morison limeinusuru Norwich kuzama mbele ya Arsenal kwa kupata sare ya 3-3 na kuiweka katika mazingira magumu sasa Arsenal kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao.
Yossi Benayoun alifunga bao zuri dakika ya pili, lakini Wojciech Szczesny akajiruhusu kufungwa kirahisi na Hoolahan dakika ya 12.
Grant Holt aliifungia bao la kuongoza Norwich dakika ya 12, lakini Van Persie akasawazishadakika ya 72 na kufunga la tatu dakika ya 80 kabla ya Morison kufanya sare ya 3-3.
Arsenal inabakiwa nafasi ya tatu kwa pointi zake 67, lakini ikiwa imecheza mechi moja zaidi dhidi ya Tottenham yenye pointi 65.


VIKOSI KADI (5) & WALIOINGIA (6)

Arsenal

  • 13 Szczesny
  • 03 Sagna (Coquelin - 33' )
  • 05 Vermaelen Booked
  • 06 Koscielny
  • 28 Gibbs
  • 07 Rosicky
  • 16 Ramsey Booked (Oxlade-Chamberlain - 63' )
  • 17 Song
  • 30 Benayoun (Chamakh - 69' )
  • 10 Van Persie
  • 27 Gervinho

BENCHI

  • 21 Fabianski
  • 11 Santos
  • 20 Djourou
  • 15 Oxlade-Chamberlain
  • 39 Coquelin
  • 09 Park Chu-Young
  • 29 Chamakh

Norwich City

  • 01 Ruddy
  • 02 R Martin
  • 25 Naughton
  • 33 R Bennett
  • 04 Johnson
  • 14 Hoolahan Booked (Pilkington - 74' )
  • 17 E Bennett
  • 19 Lappin
  • 24 Howson
  • 09 Holt (Wilbraham - 81' Booked )
  • 10 Jackson Booked (Morison - 69' )

BENCHI

  • 31 Steer
  • 22 Ward
  • 11 Surman
  • 12 Pilkington
  • 15 Fox
  • 05 Morison
  • 21 Wilbraham
Refa: Taylor
Mahudhurio: 60,092

TAKWIMU ZA MECHI

Possession41%59%96minsArsenalNorwich City

Shots

2012

On target

136

Corners

61

Fouls

815