Getty Images
2012-05-05
Nahodha John Terry wa Chelsea akishangilia na wachezaji wenzake ushindi wa Kombe la FA, baada ya kuifunga 2-1 kwenye Uwanja wa Wembley jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
Didier Drogba (wa pili kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake bao lake katika ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
Andy Carroll wa Liverpool akishangilia bao la kufutia machozi wake timu yake ikifungwa 2-1 na Chelsea katika fainali ya Kombe Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii. |
Getty Images
2012-05-05
Drogba akishangilia bao lake la ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
Kocha wa Chelsea, Mtaliano Roberto Di Matteo akishangilia ushindi wa 2-1 katika fainali ya Kombe la FA dhidi ya Liverpool uliowapa Kombe hilo Uwanja wa Wembley, London, England jioni hii.
Getty Images
2012-05-05
King Didier Yves 'Tito' Drogba.
0 comments:
Post a Comment