Pep Guardiola - Barcelona
KOCHA wa Barcelona, Pep Guardiola amethibitisha
kwamba atapumzika kwa mwaka mmoja bila kufanya kazi msimu ujao.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 41, mwezi
uliopita alitangaza Juni ataondoka Barca, baada ya kufanya kwa mafanikio kwenye
klabu hiyo.
"Nitapumzika kwa mwaka mmoja, kasha nitaona,"
aliwaambia Waandishi wa Habari katika mkutani. "Sina mpango wowote, hata
mpango wa kufundisha tena.
"Nitafanya kitu fulani, lakini hautaniona
kiasi hicho."


.png)
0 comments:
Post a Comment