![]() |
| Teddy Mapunda, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano wa SBL kushoto akiimba wimbo wa taifa kabla ya mechi kati ya taifa Queens na Botswana |
![]() |
| Nandi wa SBL na Patrick Nyembela wa EATV |
![]() |
| Mama Bilal kushoto na Mama Pinda kulia |
![]() |
| Hapa sijui wanasaini nini wenyewe wakati mechi ikiendelea Mama Bilal na Mama Pinda kulia |
![]() |
| Nahodha wa Zambia akipokea Kombe la Mshindi wa tatu |
![]() |
| GS wa Taifa Queens akivishwa Medali ya Fedha na mama Bilal, mama Pinda akishuhudia |
![]() |
| Nahodha wa Taifa Queens, Lillian akikabidhiwa Kombe la mshindi wa pili |
![]() |
| Taifa Queens na Kombe lao |
![]() |
| Malawi wakishangilia ubingwa wao kwa kucheza ngoma za kwao |
![]() |
| Nahodha wa Malawi, Grace Mwafulirwa akipokea Kombe |
![]() |
| Mdau Teddy wa kwanza kushoto |
![]() |
| Teddy na swahiba zake |
![]() |
| Jamal Bayser na Ibrahim Juma, mabosi wa Superdoll |
![]() |
| Teddy Mapunda wa kwanza kushoto |
![]() |
| Mtoto akisinzia kwa uchovu wa kusubiri mechi siku nzima |
![]() |
| Bayser na Juma |
![]() |
| Afande kazini- kwa usalama zaidi |
![]() |
| Mama Bilal akikagua timu |




















.png)
0 comments:
Post a Comment