• HABARI MPYA

    Thursday, May 17, 2012

    TBL YATOA MILIONI 1 UBANI WA MAFISANGO

    Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto), akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Timu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' wakati alipokwenda kuhani msiba wa mchezaji wa Simba Sports Club Patrick Mafisango huko Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari alfajiri ya jana. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayodhamini timu za Simba na Yanga imetoa ubani wa milioni moja katika msiba huo.
     

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TBL YATOA MILIONI 1 UBANI WA MAFISANGO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top