Getty Images
MWANASOKA Bora Afrika, Yaya Toure amesema
kwamba "itakuwa babu kubw " ikiwa atarajea Barcelona na kumalizia
soka yake huko Camp Nou.
Kiungo huyo wa Ivory Coast, amewachezea Blaugrana
kwa miaka mitatu kabla ya kuuzwa Manchester City kwa dau la pauni Milioni 30 mwishoni
mwa msimu wa 2010.
Toure amekuwa mchezaji tegemeo Uwanja wa Etihad
na mabao yake mawili dhidi ya Newcastle Jumapili yameifanya City iwe jirani mno
na ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ndani ya miaka 44, lakini mchezaji huyo mwenye
umri wa 28 ameelezea hamu yake ya kurejea Catalans.


.png)
0 comments:
Post a Comment