TIMU ya mashabiki wa Manchester United imeibuka bingwa wa
tamasha la Serengeti Fiesta Soccer Bonanza baada ya kuwafunga Barcelona kwa penalti
5-4, kufuatia sare ya bila kufungana, kwenye TCC, Chang’ombe, Dar es Salaam. Tazama
picha za mechi hiyo na shamrashamra za ubingwa wao. Barcelona walipewa Kombe pia la mshindi wa pili na bia zaa kumwaga za Serengreti.
Ruthless Boulter sends GB into BJK Cup semi-finals
-
A ruthless Katie Boulter secures Great Britain's place in the Billie Jean
King Cup semi-finals with a 2-0 win against Japan.
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment