Jack Rodwell amekamilisha uhamisho wa kutoka Everton kujiunga na Manchester City jana usiku, lakini dili hilo la pauni Milioni 12 limeambatana na onyo kutoka kwa kocha Roberto Mancini, kwamba lazima akuze kiwango chake.
Karibu Manchester, Jack: Rodwell amekamilisha uhamisho wake kutua Man City
Jack maisha mapya: Rodwell akiondoka katika hospitali ya Bridgewater huko Moss Side jana baada ya saa tatu za kufanyiwa vipimo vya afya
KIPAJI CHA HALI YA JUU: Rodwell alimvutia Mancini alipocheza dhidi ya City


.png)
0 comments:
Post a Comment