Usain Bolt alianza kujirusha saa 12 jioni katikati ya Jiji la London.
Nyota huyo wa Jamaica, ambaye alishinda Medali tatu za Dhahabu katika Michezo ya Olimpiki London, alianzia katika klabu ya Movida.
Bolt awali alikuwa Puma Yard bar, Brick Lane, mashariki mwa London, kabla ya kutimkia mjini. Aliungana na wapinzani wake katika mbio, Wajamaica wenzake Yohan Blake kusherehekea mafanikio yao katika michezo hiyo.
Bolt na Blake walikuwa miongoni mwa Wajamaica waliovunja rekodi ya mbio za mita 4x100 za relay Jumamosi usiku.
Baadaye waliungana na kimwana mmoja mkali. Akiwa klabu, Blake alitani: 'Sisi si binadamu wa kawaida, kwa sababu hakuna aliyekimbia 36 - ndio maana tunasema, tunatoka mbali. Tunatoka mbali kama Mr Bean.'
Muda wa kujirusha: Usain Bolt akiwa klabu la Movida, katikati ya London saa 12 asubuhi
Anaelekea nyumbani: Bolt na Blake wakiwa na kimwana wanakwenda kujipumzisha
Tabasamu tupu: Yohan Blake akiwa amezungukwa na mashabiki baada ya kujirusha na Bolt
Muda wa kulala: Bolt alionekana akiingia na kimwana klabu Movida
Furaha iliyoje: Bolt akiwa kwa DJ akifanya vitu vyake
Gwiji: Bolt akipagawisha
DJ DJ: Usain Bolt na Manny Norte wakiwa The Puma Yard, Brick Lane
Walipovunja rekodi: Timu ya Relay ya Jamaica Bolt, Blake, Michael Frater na Nesta Carte


.png)
0 comments:
Post a Comment