Vitali Klitschko amemaliza rekodi ya kutopigwa ya Manuel Charr kwa kutetea taji lake la WBC mjini Moscow, Urusi akimsimaisha katika raundi ya nne mpinzani wake huyo.
Katika kile ambacho kinaweza kudhihirisha hilo ni pambano la mwisho la mbabe huyo wa Ukraine kabla hajaingia kwenye siasa, alimchana jicho la kulia Charr zikiwa zimesalia sekunde 56 kumalizika raundi ya nne.
Klitschko akimuadhibu Charr
Hasira za kipigo, Charr akilalamika baada ya marefa kumaliza pambano kumuokoa
Alimuangusha kickboxer huyo wa zamani katika raundi ya pili, kwa ngumi kali ya kushoto, ambayo ilimfanya Charr ahesabiwe hadi nane. Na hali hiyo ilipojirudia raundi ya nne kwa Charr, refa akaingilia kumuokoa.
Pati la ushindi: Klitschko akishangilia na mashabiki wake...
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2200475/Emphatic-Vitali-Klitschko-ends-Charrs-perfect-record-fight.html#ixzz25xe8lPks
0 comments:
Post a Comment