DIG ... Bacary Sagna
Published: 9 hrs ago
NIDHAMU mbovu ya Wayne Rooney na wachezaji wengine wa England, inawafanya wachezaji wa Ufaransa waonekane “watakatifu”.
Nyota huyo wa Manchester United, Rooney alifungiwa kwa
kushangilia akitukana kwenye kamera ya TV mwaka jana.
Nyota wa Manchester City, Samir Nasri naye aliropoka neno
katika Euro 2012, lakini beki wa Arsenal, Mfaransa Bacary Sagna amesema: “Sielewi
kwa nini. Wakati ukiangalia nidhamu ya wachezaji wa England ambao wanakwenda
kwenye kamera na kusema ‘F*** off!’, Wafaransa wanaoneokana watakatifu.”
Read more: http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/sport/football/4528205/Bacary-Sagna-slams-Wayne-Rooney.html#ixzz25xZ410zC