![]() |
Beki Shomary Kapombe wa Azam FC akimiliki mpira mbele ya beki wa Stand United, Suleiman Mrisho |
![]() |
Mshambuliaji wa Azam FC, Allan Wanga akimtoka beki wa Stand United, Suleiman Mrisho |
![]() |
Beki wa Stand United, Revocatus Richard akiondosha mpira kwenye hatari mbele ya mshambuliaji wa Azam, Kipre Tchetche |
![]() |
Winga wa Azam FC, Farid Mussa (kulia) akimtoka kiungo wa Stand United, Amri Kiemba nyuma yake, huku Nassor Masoud 'Chollo' akiwa tayari kutoa msaada |
![]() |
Nassor Masoud 'Chollo' akimiliki mpira katika ya wachezaji wa Azam FC |
0 comments:
Post a Comment