Kiungo wa Ujerumani, Mestu Ozil akimtoka kiungo wa England, Dele Alli (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku huu Uwanja wa Olympia mjini Berlin. England imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Harry Kane, Jamie Vardy na Eric Dier baada ya Ujerumani kutangulia kwa mabao ya Toni Kroos na Mario Gomez PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment