![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mbwana Samatta akimvisha kanzu ya kisigino watoto wa bongo wanasema 'kizungu' beki wa Chad jana |
![]() |
| Mshambuliaji wa Taifa Stars, Thomas Ulimwengu akigombea mpira na beki wa Chad jana |
![]() |
| Winga wa Taifa Stars, Farid Mussa akimtoka beki wa Chad jana |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Mwinyi Kazimoto akitafuta maarifa ya kuwapita wachezaji wa Chad jana |
![]() |
| Beki wa kulia wa Taifa Stars, Shomary Kapombe (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpira beki wa Chad jana |
![]() |
| Mshambuliaji wa Tanzania, Thomas Ulimwengu akimruka kipa wa Chad baada ya kudaka mpira |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Jonas Mkude akimtoka mchezaji wa Chad huku akifikiria pia namna ya kumpita mchezaji mwingine wa timu hiyo jana |
![]() |
| Kiungo wa Taifa Stars, Himid Mao (kulia) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Chad jana |
![]() |
| Kikosi cha Taifa Stars kilichlifunga 1-0 Chad jana mjini D'jamena |












.png)
0 comments:
Post a Comment