• HABARI MPYA

    Saturday, September 08, 2012

    PIGO MAN UNITED, PHIL JONES NJE MIEZI MIWILI


    BEKI wa Manchester United na England, Phil Jones ameumia tena na atakuwa nje ya Uwanja kwa miezi miwili.
    Jones aliumia mazoezini mapema wiki hii na kupelekwa kufanyiwa vipimo, ambavyo majibu yake ya kukaa jukwaani kwa wiki sita hadi nane.
    Nightmare: Phil Jones' young career at Manchester United has been marred by injury
    Phil Jones asiye na bahati kua.
     
    Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2200211/Phil-Jones-weeks.html#ixzz25syKm84F
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PIGO MAN UNITED, PHIL JONES NJE MIEZI MIWILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top