| Mchezaji wa timu ya soka ya taifa ya Cameroon,Jean Paul Yoncha akinyoosha viungo wakati wa mazoezi yao Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo, kujiandaa na mchezo wa kesho wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. |
|